DiA'sInaendelea
Ujenzi wa ofisi ya DiA's, Ilonga Mahenje
Ofisi itakayoratibu shughuli za CASA na COPE. Mwanzilishi, Jessey Kimei, alikagua kazi ya ufundi chuma. Bado inahitaji vifaa vya umaliziaji wa kuta, dari na meza za ofisi.
Kinachohitajika
- Wall gypsum putty: mifuko 12
- Gypsum board: bodi 25
- Plywood board (futi 8 × 4): bodi 3















