Inakuja hivi karibuniKitabu cha 1 · Mfululizo wa elimu
Kioo cha Matumaini
Kuelewa, Kutambua na Kupambana na Ukatili wa Kijinsia
Kijarida cha elimu kinachomulika ukatili wa kijinsia kama kioo kinavyoondoa giza: maana yake, tofauti ya jinsi na jinsia, aina zake, na midahalo ya kuchochea fikra mpya.
Kwa ajili ya: Vijana, wanafunzi, walimu, wazazi na viongozi wa jamii
Yaliyomo
- Ukatili ni nini?
- Jinsia ni nini?
- Ukatili wa kijinsia ni nini?
- Kwa nini tunasoma ukatili wa kijinsia
- Aina za ukatili wa kijinsia
- Midahalo ya moto
- Msamiati, mahali pa kupata msaada, maswali ya kujitathmini



