Mafunzo · S&TE / S&TA
Mafunzo ya ujuzi na teknolojia bila malipo
Skills & Technology Exchange / Acquisition (S&TE / S&TA): DiA's inatoa mafunzo ya bure ya upishi, ufundi, lugha na uzalishaji, ili kila mtu apate ujuzi wa kujitegemea na kuitumikia jamii yake.
Nafasi za mafunzo zilizo wazi ↓
S&TE / S&TA
Maeneo ya mafunzo
Upishi
Mapishi, usafi wa chakula na ujasiriamali wa vyakula.
Ufundi
Ujuzi wa mikono unaompa mtu kazi na kipato.
Lugha
Lugha zinazofungua milango ya elimu, kazi na urafiki wa mataifa.
Uzalishaji
Kuzalisha bidhaa na huduma, na kutatua changamoto za jamii.
Jinsi ya kuomba
Hatua sita, kuanzia tangazo hadi muongozo
- 1Soma tangazoFungua tangazo lililo wazi na uone kama una sifa zinazohitajika.
- 2Lipia fomuAndika jina na simu, upate invoice yako. Lipa kiasi chako kamili kwa Lipa Namba.
- 3Pakua fomuUkishalipa, ukurasa unajifungua wenyewe na kukupa fomu yako ya PDF.
- 4Tuma maombiJaza fomu, kisha uipakie pamoja na barua ya maombi kwenye ukurasa wako.
- 5MahojianoSubiri kuitwa kwenye mahojiano ya ana kwa ana.
- 6Fomu ya muongozoUkikubaliwa, unapokea fomu ya muongozo ya mafunzo.
Matangazo
Nafasi za mafunzo zilizo wazi

Hakuna tangazo lililo wazi kwa sasa. Tufuate kwenye mitandao ya kijamii au tembelea ukurasa huu tena.
